Chakula wanachokula Wanaanga Waliopo Nje ya Dunia ni sawa kama chakula tunachokula huku Duniani. Utofauti, Kwao asilimia kubwa ya Chakula kinakuwa Tayari kimesagwa na kutunzwa katika Pakiti maalumu. Wanachofanya wao huwa ni Kuweka Maji ya Moto au Ya Baridi kulingana na mtu atavyopenda.
Wanatumiaje Choo huko angani?
"Maisha Ya Wana Anga" Kuna Choo. Wanakojoa katika Mrija maalumu ambao huenda kutunza mkojo katika eneo Pakiti kabla ya Kutolewa nje. Kwa Haja kubwa kuna choo cha kukaa, kusafisha wanatumia Upepo maalumu ambao una kemikali kusafisha. Huwezi kutumia maji sababu Yataelea.
No comments:
Post a Comment