Mickey Mouse ndiye katuni wa kwanza kutunukiwa nyota ya heshima ya "HOLLYWOOD WALK OF FAME",ni katuni maarufu sana ulimwenguni,tangu mwaka 1928 ilipoonekana kwa mara ya kwanza haijawahi kupotea machoni mwa watu hadi leo,ndiyo maana unaweza kutana na bidhaa mbali mbali kama fulana na nyinginezo zikiwa na chapa ya mchoro huu. Tunapotaja makampuni makubwa ya burudani ulimwenguni "Walt Disney" inashika namba 2 na asilimia 40% ya mapato yake yote yanatokana na katuni hii ya "Mickey Mouse".
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment