Madhara ya kula na kung'ata Kucha .

Watu Wengi Huwa Wanakula/kung'ata Kucha Na Wengine Sasa Hivi Wako Wanakula/kung'ata Kucha . Sasa Pale Unapokua Unatafuna Zile Kucha Huwa Unaingiza Vibakteria Ndani Ya Mwilii Hicho Kitendo Kinafanya Mwili Kutengeneza Kinga Za Kushambulia Vitu Vipya Vilivyoingia Mwilini Humo Kama Unavyojua Mwili Huwa Unatengeneza Kinga Ya Kupambana Na Vitu Vipya Mwilini . Hivyo Kuufanya Mwili Kuimarisha Kinga Yake. Sijasema Sasa Ndo Mkazane Kung'ata Kucha 😂

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages