Art, You dont like.
Hili ni tamasha kubwa la Picha ,pamoja na video, ambapo watu mnakuwa katika mkusanyiko mkubwa, na ilikushiriki katika picha au video hizo, inakubudi uwe uchi(Naked), yani kundi nzima la watu mnakuwepo Uchi/watupu.
Hii mbinu ya mtindo huu wa picha na video ulianzishwa na mpiga picha maarufu wa Nchini marekani , Jina "Spencer Tunnick", ambae alikuwa anatumia matangazo na sehemu zile zenye makundi /mikusanyiko mikubwa ya watu, kisha anawashtukiza hivyo kwa yule mwenye kutaka ,anavua nguo na kukusanyika kisha kuchukuliwa picha au video.
Hii picha apo juu, ilipigwa mexco City, ambapo alikusanya watu zaidi ya 18,000, na kuwa chukua picha hizo...Na wengi wanao shiriki hili shindano huwa wanakuwa na furaha na kujiamini sana, pia hili shindano hali chagui rika , kila lika unaruhusiwa kushiriki.
Spenser Tunnick , hivi kalibuni ametangaza tamasha kama hilo , ila haijulikani ni wapi litakwenda kufanyika
No comments:
Post a Comment