Machache kuhusu Chura

Naimani Kila Mmoja Wetu anawafaham Chura. Sasa Huwa Kuna zaidi Ya Species 4,700 za Chura na Hupatikana Kila Bara Isipokua Katika Bara La Antarctica.

Unaweza Ukamgundua Chura Dume na Chura Jike Kwa Kuwaangalia Masikio Nyuma Ya Macho Kama Sikio Ni kubwa Kuliko Jicho Basi Ni Dume Na Kama Sikio Likiwa Dogo Kuliko Jicho Lake Ni Jike.

Ulishawahi Kusikia Kelele Za Chura Bas Zile Kelel Huwa na Maana Lugha ya Kitaalam Wanaita Croaking na Kila Species Ina Mlio Wake hufanywa na Vyura Dume Kuwavutia Vyura Jike.

Vyura Huwa Hawanywi maji Bali maji hufyonzwa na Miili yao na kuingia mwilini.

Chura Pia Wakiwa Katika Kundi Huitwa ARMY/COLONY/KNOT kwa Lugha Ya Kingereza.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages