Binadamu aliyewahi kuishi Miaka mingi Duniani!!!

Chief john(The white wolf), ndie mtu alieishi miaka mingi zaidi duniani kuanzia karne ya 13, mpaka karne ya 21, yani sasa hakuna aliefikisha miaka hiyo.
Alizaliwa mwaka 1785, na kufa mwaka 1922, akiwa na umri wa miaka 137, kihasi kwamba sura na muonekano wake kuwa mbaya sana.
Huyu alikuwa ni chief mwenye asili ya uindi, alie kuwa anaitawala amerca huko maeneo ya mississipy. ✨✨✨MWISHO✨✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages