Hii picha ni ya mwanamke mzungu akitabasamu, sasa ili umuone katika muonekano na rangi yake hasilia inakubidi ufanye hivi.
Itazame hii picha apo puani , kwenye icho kidoti cheupe, ndani ya dakika moja (sekunde 60), hakikisha unapo tazama hicho kidoti usipepese/chezesha macho sana kwa huo muda.
Ikishapita dakika moja, Angalia pembeni ya hiyo picha apo kwenye rangi nyeupe bila kupepesa macho,kadri utapo angalia utaona picha yake kiuharisia ikionekana apo kisha kupotea ni vizuri ukawa katika sehemu yenye mwanga hafifu ili uwone vizuri, ila kama unataka uone vizuri zaidi angalia ukuta wenye rangi nyeupe , haswa mida ya jioni..utamuona huyo mwanamke.
No comments:
Post a Comment