Katika tamaduni mbali mbali duniani kwote, wana amini Paka mweusi ni ishara ya mkosi.
watafiti wana amini kwamba ,ukikutana na paka mweusi katika mazingira ya pekeako, endapo paka huyo hato kukimbia, ila ata kuangalia na kulia kisha aka kukimbia baada ya apo, jua ya kwamba kuna kitu cha tofauti amekiona kwako.
yawezekana , kuna mkosi au matatizo yana weza yaka kutokea kwa kipindi hicho, au wew sio mtu wa kawaida yaweza kuwa ni mbaya.. Pia unambiwa kama unafuga paka mweusi, endapo uki mwona anaangalia sana sehemu fulani na kulia sana huku akiwa ana angaika ,jua ya kwamba kuna kitu cha tofauti amekiona, hivyo anafanya hivyo ili kukushtua wewe.
Hata hivyo paka mweusi huaminika kama paka wasio pendwa duniani kwote..watu wengi hawapend kuwa karibu nao.

No comments:
Post a Comment