CARICATURE

""

"Caricature",hizi ni aina ya katuni zinazo ongeza au kupunguza muonekano wa mtu,kama mtu ana macho makubwa kwenye "caricature"ataonekana na macho makubwa maradufu,kama mtu ni mwembamba ataonekana mwembamba zaidi kuliko kawaida.Japo caricature huharibu muonekano wa mtu kwa asilimia kubwa lakini haipotezi sura ya mtu aliyekusudiwa.Kwa maana hiyo "caricature" ni katuni zinazo haribu muonekano wa mtu bila kupoteza sura yake hususani watu maarufu.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages