Kiongozi wa kiimla wa zamani katika taifa la Italy alipoingia madarakani moja ya vitu alivyovifanya aliiamuru wizara ya utamaduni kuzipiga marufuku katuni zote kutoka katika taifa la Marekani.Lakini katuni ya "POPEYE" ilikuwa maarufu na ilipendwa sana na wananchi wake hivyo walipaza sauti zao na hatimae aliruhusu katuni hiyo iendelee kuwepo nchini mwake.
After Mussolini came to power in Italy,banned all American comic strips but "POPEYE"was so popular Italians made him bring it back.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment