alizaliwa akiwa na miguu Mitatu(3),

FRANCESCO LENTIN.
Huyu alikuwa ni Raia wa Italy na Marekani, alizaliwa tarehe 18/5/1889, Rosolin ,Italy na kufa tarehe 21/9/1966 ,Florida, marekani ,akiwa na miaka 78.
Huyu alizaliwa akiwa na miguu Mitatu(3), yote ilikuwa inafanya kazi, alizaliwa akiwa na sehemu za siri za kiume mbili(pair) , nazote zilikuwa zikifanya kazi, na alikuwa na jumla ya vidole Vya miguu Kumi na Sita.
Alikufa kwa ugonjwa wa mapafu(Lung failure) huko Florida marekani.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages