hii ni Sagada, nchini Phillipines, katika kijiji cha Igorot, kiliopo milima ya Province..Usichokijua ni kwamba katika kijiji hicho tokea karne ya 14, walikuwa na utamaduni, endapo mtu akifa ...hawaendi kumzika ardhini bali wana chukua Jeneza lake na kwenda , kulifungia katika milima hiyo ya province, likiwa lina bembea.
Katika imani watu wa kijiji hicho wana amini, kuwa kufunga jeneza hivyo juu, ni rahisi kwa marehemu/ wafu hao kuchukuliwa haraka na Mungu, kwasababu wana kuwa karibu nae.
Pia hawa amini, kuzika maiti ardhini, kwasababu wana amini chini ya ardhi kuna maji, hivyo kuwa weka wafu wao huko, nikuwafanya wateseke kutokana na maji huko ardhini.
Nakatika hiyo imani yao ya kuzifunga jeneza juu , hivyo endapo jeneza likadondoka chini, labda kwa kuoza au kamba kukatika, wao huamini mfu huyo tayari anakuwa amechukuliwa na Mungu
Utamaduni wa kutokuzika kutoka nchini Phillipines
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment