Gari la Ajabu lililopotea na kuonekana ghafla!!

Nchini Germany, katika mji wa frankfurt, mwaka 1997, mtu mmoja ali paki gari lake sehemu ya packing , nyumbani kwake, lakini siku iliyo fuata , hakulikuta gari hilo apo alipo li hifadhi/pack.
Alienda polisi kulalamika , kuwa gari lake lime potea/ ibiwa na polis walifanya uchunguzi baadae kesi hiyo ika potezewa kwasababu hailikupatikana hilo gali.
Miaka 20, baadae , yan mwaka 2017, mtu huyo alipo ingia katika packing yake ya magari, alilikuta gari hilo sehemu ile ile alipo lipack mwaka 1997, likiwa limeshika kutu sana... Na alishikiriwa na polisi kwa kosa la kuidanganya jeshi la polisi.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages