Huko Bolivia Huwa Kuna Sherehe Za Kupigana Yaani Kama Hio Siku Una Hasira Unazionesha Waziwazi na Unapigana Maana Ni tamasha la Kupigana. Watu Kutoka Katika Jamii Mbalimbali Hukusanyika Na kukutana Sehemu Ya Tamasha , Wanaume Huanza Kwa Kucheza Baadae huzungukwa Na Wanawake halafu Tinku inaanza . Inadaiwa Baada Ya Tamasha Hilo Hupatikana Majeruhi Wengi Walioumia baada Ya Kushiriki Tamasha Hilo .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment