Mwanamke Huyu Alizaliwa Mwaka 1956 Na Alikua Ni Mhalifu Sana Na Alikua na Tatizo Moja kitaalam Wanaliita Necrophilia (Ile Hali Ya Kuvutiwa Kufanya Mapenzi Na Maiti) . Sasa Huyu Alikua Anaiba Gari Za maitii Na kukimbia na Maiti Hizo Na Kufanya Nazo Mapenzii , Yaani Akifika Katika Msiba Fulani Anavuruga Mambo af Anatimka Zake na Gari La Maitii.
Dec 17 mwaka 1979 Aliiba Gari La maiti Iliyokua na Mwili Wa mzee Mmoja aliyefariki Siku Tano Nyuma ,Baadae Alikamatwa na Kuambiwa Alipe Faini ya $255 Na Kukaa Siku Kumi na moja Jela.
Dec 17 mwaka 1979 Aliiba Gari La maiti Iliyokua na Mwili Wa mzee Mmoja aliyefariki Siku Tano Nyuma ,Baadae Alikamatwa na Kuambiwa Alipe Faini ya $255 Na Kukaa Siku Kumi na moja Jela.

No comments:
Post a Comment