THE DEVIL TREE ( mti wa kishetani
Devil tree ; ni mti unaopatikana , katika jimbo la New Jersey,kalibu na mji wa Bernards Town, nchini marekani..Mti huu umeitwa Devil tree(mti wa shetani) , kutokana na historia na mazengwe ambayo yana tokea mpaka sasa katika mti huo.
Apo mwanzo mti huo ulikuwa unatumiwa na vikundi kadhaa vya uharifu,ikiwemo kikundi cha Ku Klux Klan(KKK), hili kundi ni moja ya tawi la illuminant ,ambalo lilikuwa lina pinga watu weusi marekani, na dini ya romani katoriki.. sasa hilikundi lilikuwa linakutana katika mti huo na kufanya mikutano yao ,yani uwo mti ulikuwa makao makuu yao, ambopo kila walipo enda kufanya mikutano hapo walikuwa wanaenda na watu weusi, kisha wana wachinja apo kama sadaka kwa shetani.
Devil tree, pia ulikuwa unatumiwa na watu ambao walikuwa wanaitaji kujinyonga, basi walijinyonga hapo,ikiwemo mkulima mmoja ambae aliua familiya yake yote kisha na yemwenyewe akaenda kujinyonga katika mti huo.
Sasa kutokana na matukio hayo ,mti huo umekuwa na maajabu sana ,kwanza unambiwa ikifika kipindi cha winter(barafu), sehemuzingine zinafunikwa na barafu ispokuwa mti huo pekee,haitui barafu..Endapo unaenda uko kwambali kabla hauja ufikia ,utaona mwili wa mtu ,ukiwa una bembea lakini ukiusogele ,ule mwili unapotea, na endapo ukaugusa mti huo mkono mzima unabadilika langi nakuwa mweusi,pia ndani ya mti huo utaskia sauti nyingi zisizo elezeka na kila alie jaribu kuukata mti huo alikufa.
Watu wana amini hiyo miujiza yote inatokana na roho za watu ambao walikufa hapo.
THE DEVIL TREE ( mti wa kishetani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment