Power Of Mind ina Unganishwa Na kitu kinacho Julikana Kama Psychic Ability (powers) Hicho Ndicho kinacho badilisha Mawazo kwa kutumia nguvu ya akili (fikra) na kuwa Uhalisia Jinsi Utakavyo weza Kuya dhibiti mawazo yako katika kutumia nguvu fulani Ndivyo itakavyo tokea. -
Lakini Kibaya Ni kwamba hizi nguvu tayari tumesha zipoteza wakati Wa kukua kwetu Na Ni wachache tu ambao bado wame saliwa na baadhi ya nguvu hizo.
Tuziangalie baadhi ya hizo nguvu, -
Aura Reading - Huu Ni Uwezo wa kumsoma mtu au kumtambua mtu kama Ni mbaya au mzuri kwa kutumia nguvu hii Una uwezo wa kuyatambua mawazo ya mtu pia Una uwezo wa kuitambua sehemu au Pahali fulani kama Ni pabaya au la. -
Apportation - Huu Ni Uwezo Wa kutoweka Mbele ya macho ya Watu kwa Lugha Rahisi Ni kupotea mbele ya macho ya mtu, bila shaka Una elewa nguvu hii ina tumiwa zaidi na wakina nani, -
Astral projection or mental projection - Hii nguvu nimesha wahi kuizungumzia kwa kirefu sana, Huu Ni Uwezo wa kutoka nje ya mwili wako. -
Bilocation or Multilocation - Huu Ni Uwezo wa kuwa au kuonekana sehemu mbili kwa wakati Mmoja, Yaani saa 4 Upo Dar halafu saa 4 hiyo hiyo upo Dodoma. -
Clairaudience - Huu Ni Uwezo wa kupokea Taarifa kwa Njia ya mawazo Ina weza kuwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine au kutoka Ulimwengu mwingine, Katika hii Dunia Kuna watu Wana wasiliana kwa Njia ya mawazo sasa Kuna watu Wana uwezo wa kuyasikia haya mawazo, kwa mfano labla watu fulani Wana wasiliana njia ya mawazo ili Waje wakudhuru ghafla ana fika mtu Usiye Mfahamu ana kuambia uondoke sehemu ile yule mtu ana Uwezo wa kunasa Mawasiliano ya watu kwa njia ya mawazo.
-
Death Warning - Huu Ni Uwezo wa Kuhisi Kifo Ina Tokea Zaidi Kwa Wagonjwa, Kuna Baadhi ya watu waki muangalia tu mgonjwa Wana Tambua huyu mgonjwa hana siku nyingi Ana Poteza Maisha Na Wakati Mwingine Sio Kwa wagonjwa tu, Pia Death Warning mtu ana weza kuipata kwenye Ndoto Tuta Izungumzia maana nayo Ni Nguvu inayo jitegemea. -
Itaendelea -
Hizo Nguvu Kuna Zinazo Fundishika.
Levitation or Transvection - Uwezo wa kutembea Juu ya maji na Kupaa kwa kutumia Fikra (Ina tumiwa zaidi na TIBETAN MONKS) -
Energy Manipulation - Huu Ni Uwezo wa kutumia akili au fikra za mtu mwingine kufikiria jambo fulani au kufanya kazi.
-
Telepathy - Uwezo wa Kutuma taarifa au kupokea taarifa kwa njia ya fikra, Hapa Una weza uka muita mtu kwa mawazo aka kusikia na uka muambia chochote na akatii bila kupinga (Ina tumiwa zaidi na wanaume ) -
Dowsing - Uwezo wa kukiongoza kitu kwa kutumia fikra, Una Tumiwa kitu kina fika kukudhuru au kutuletea ujumbe fulani na kina Rudi, Pia hii unaweza uka tumia sehemu nyingine kwa mfano kuyaongoza maji yapite sehemu ambayo Una penda yapite. -
Energy Medicine - Uwezo wa kumponya mtu kwa kutumia fikra na (Wale watenda Miujiza Wana Tumia sana hii). -
Faith Healing - Uwezo wa kuponya kwa kutumia imani (Ndio Ile Imani Yako Ime kuponya). -
Precognition, premonition Au precognitive dreams - Uwezo wa kutambua Jambo Fulani Kabla halija tokea, (Ina tumiwa zaidi na watabiri).hii halijalishi jambo Lita tokea lini au muda gani. -
Pyrokinesis - Uwezo wa Kuwasha Moto kwa kutumia Fikra (Ina fanana Na telekinesis). -
Remote viewing - Uwezo wa kutambua kitu kitakacho tokea Muda mfupi ujao au dakika chache zijazo. -
Retrocognition - Uwezo wa kutambua Jambo lililo tokea siku zilizopita, kwa mfano mtu Kafa Halafu Hakuna Anaye fahamu sababu mtu mwenye Nguvu hii akiangalia tu ana fahamu kilicho tokea. -
Scrying - Uwezo wa kuona Kitu kitakacho tokea Muda mfupi Ujao au siku zijazo kwa kutumia kifaa fulani ina weza kuwa kwa kutumia kioo au kifaa kingine chochote chenye uwezo wa kuonyesha.
-
Clairgustance - Uwezo wa Kufahamu Ladha ya kitu fulani pasipo kuonja hasa vyakula, Mtu kwa kuangalia tu chakula ana fahamu Ni kitamu au sio kitamu. -
Psychometry Au psychoscopy - Uwezo wa kupata taarifa kuhusu mtu au kitu kwa njia ya fikra. -
Hizi Nguvu zipo nyingi Naomba sehemu Inayo Fuata Nimalizie chache ili tuanze kuichambua moja moja.
Power Of Mind( Muendelezo..?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment