Power Of Mind 5

-
Claircognizance - Uwezo wa kutumia Nguvu za mtu au akili au uwezo kwa Njia Asilia (Ina Tumiwa Zaidi Na Waganga wa kienyeji Unavyo fika kwake Una kutajia matatizo yako kumbe ana tumia akili yako mwenyewe). -

Mediumship or channeling - Uwezo wa kuwasiliana kiroho au Na roho. 
Precognition or premonition - Uwezo wa kutambua Matukio Yajayo. 
Prophecy - Uwezo wa kutabiri Mambo Yajayo. 
Psychic Surgery - Uwezo wa kujitibu Magonjwa, Matatizo Na Maambukizi mbali mbali katika mwili wako. 
Psychokinesis or telekinesis - Uwezo wa kuvunja, Kuinua, Kudondosha kitu pia Kuwasha na Kuzima Moto kwa kutumia Fikra. -
Psychometry or psychoscopy - Uwezo wa Kufahamu au kuchukua kitu au taarifa ya mtu au kitu kwa njia ya kumgusa (Mara Nyingi Watu Wana Fanya hivi kwa njia ya kushikana mikono wakati wa kusalimiana mtu ana ondoka Na Nyota Yako).... Lakini Nyota Huwa Haiibiwi Mtu atachukua na kuitumia katika maana kama kitu chako kina Tumika ww hauta kuwa na faida nacho lakini haibadilishi maana ya kile kitu Ni chako. -

Remote viewing, telesthesia or remote sensing – Uwezo wa kutambua au kuhisi Jambo Litakalo Tokea Muda mchache Ujao.... Thoughtography - Uwezo wa Kubadilisha Mawazo ya mtu na kuwa picha halisi inayo onekana.
-
Naona Kuna Changamoto kwenye kuelekeza Jinsi ya kuzitumia baadhi ya hizi nguvu kwasababu Kuna picha ambazo Ndio Zina tumika kujifunzia Sasa Hizo picha zipo Kwenye Mfumo wa PDF uki screen shot zinapoteza uhalisia wake. -
Mfano Soma la AURA READING (Jinsi Ya kumsoma Mtu). Somo la kwanza kuhusu namna ya kusoma Aura (Kumsoma mtu) Kuna picha mbili za kujifunzia katika picha ya kwanza fanya hivi.
Concentarate kuangalia hizo picha mbili, utaziona kama zinataka kuungana na kuwa picha tatu, ya katikati inakuwa na umbo la msalaba. Kwa pembeni unaona kama mwanga wa blue una zidi kung'aa. -

Sasa Changamoto ipo uki zi screen shot hizo picha kutoka kwenye DPF na kuziweka huku Fb hivyo vitu havionekani... Ninge kua na uwezo ninge kuwa nawatumia whatsapp kwa wale wenye app za kufungua DPF FILES lakini Ni Niseme tu Sina Uwezo wa kumtumia kila mmoja Niko Busy sana.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages