PART 3; NEW WORLD ORDER(NWO)/UTAWALA MMOJA WA DUNIA

kama nilivyo eleza katika makala iliyo pita kuhusu ,Mambo muhimu ambayo yana fanyika kuelekea katika kusimikwa kwa Utawala mmoja wa dunia yan NEW WORLD ORDEL(NWO). Sasa ,jambo lingine muhimu linalofanywa na washirika wa mpango wa Utawala mmoja(NEW WORLD ORDER) kupitia Illuminat ni. ✨Kuunda mfumo ,wa kuthibiti kila mtu ,ili kuwafanya watu washindwe kuamua hatima ya maisha yao..mfumo huu unahusisha ,mbinu za kutengeneza kitu ambacho kitakuwa na uwezo wa kutambua fikra za mtu,kupitia vitu ambavyo vitapandikizwa katika kila ubongo wa Bina damu pasipo yeye kujua...na kwa asilimia 30% tayari ,hii njama imefanikiwa na amini na kwa mbia ,hapa duniani saizi wapo watu ambao tayari wamesha kuwa controlled na hawa watu... hii njama ya kuthibiti kila mtu,kwanza kabisa wanachokifanya ni kuharibu mfumo mzima wa ubongo,mfano..wana haribu mfumo wa kumbukumbu na kukufanya mtu ,ushindwe kukumbuka mawazo au vitu ambavyo umevitenda na kukuamrisha ufanye mawazo yao..na hii wanaifanya kupitia washirika wao ..mfano tovuti kama google,youtuble,operamini n.k..kupitia mitandao ya kijamii kama Facebook,Instagram,whatsapp n.k..kupitia vitu mbali mbali kupitia misaada kama ,Chanjo ,dawa,vyakula n.k na mengine mengi.

Haya yote niliyo ya taja ,kila moja linafanya kazi yake..mfano google,usicho kijua ni kwamba ukitumia mtandao wa google zaidi ya mara moja ,tayari ,wanakuwa wamesha kujua vizuri na pale unapo andika kitu labda alafu unabonyeza pale kwenye kitufe cha search/tafuta,jua kwamba pale wew ndo umekuwa wa kwanza kutafutwa na wao ndipo wanapokuletea sasa unachokitafuta ndomana unakuta ukitumia google au youtube ,endapo ukawa unapenda sana kutafuta habari labda za siasa, bas utakuta kila unapo fungua google au youtube ,wana kuletea habari hizo tu...hiyo kwasababu wana kuwa wamesha kufahamu vizuri... ✨✨✨ITAENDELEA✨✨✨✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages