Popo wanapowinda hutoa sauti ambazo Binadamu ni kazi kuzisikia. Sauti hizo hurudi kama Mwangwi. Mwangwi huo ndio humfanya kutambua eneo ambapo anazunguka lipoje, anaweza akajua wadudu mbalimbali na ukubwa wao na umbali pia ambao wapo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment