Barycenter.

Dunia na sayari zingine havizunguki jua, bali vinazunguka katikati ya mfumo wa jua, sehemu ambayo ipo nje ya jua. Sehemu inayozungukwa na sayari inaitwa Barycenter.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages