Je, wajua? Mafuta ya mwilini (unene) huenda wapi pale unapopunguza uzito/unene? Mafuta hubadilishwa kuwa dioksidi ya kaboni (carbon dioxide) na maji. Unatoa pumzi ya dioksidi ya kaboni na maji hutoka kwa njia ya jasho na mkojo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment