Mafuta hubadilishwa kuwa dioksidi ya kaboni (carbon dioxide) na maji.

Je, wajua? Mafuta ya mwilini (unene) huenda wapi pale unapopunguza uzito/unene? Mafuta hubadilishwa kuwa dioksidi ya kaboni (carbon dioxide) na maji. Unatoa pumzi ya dioksidi ya kaboni na maji hutoka kwa njia ya jasho na mkojo.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages