Je, Wajua?
Jino la gharama zaidi duniani lina thamani ya dola 36,857. Lilikuwa la mwanamuziki wa zamani John Lennon na lilinunuliwa na daktari wa meno wa Canada Dr Michael Zuk mwaka 2011.
Kabla ya hapo jino la Isaac Newton ndiyo lilikuwa linashikilia rekodi.
Chanzo:Guinness World Records & IndiaToday
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment