Mbwa Jike akiwa tayari Kwaajili ya Kujamiiana, Hutoa harufu ambayo husambaa kwa umbali unaofika mpaka Kilometa 4. Madume yaliyo karibu hufuata Harufu hiyo mpaka kwa Jike, na Hapo hujikuta Yapo Mengi yakifika kwa Jike. Mbabe ndie atakaeanza Kazi.
Wakati Wa Kujamiiana Mbwa Jike Na Dume Unata Kwa Dakika Kadhaa. Sababu Ni Wakati Dume Anamwaga Mbegu, Mbele Ya Uume Wake Utanuka Mfano Kama Wa Balbu. Na Jike Uke Wake Ubaki Vile Vile. Inashauriwa Usiwalazimishe Kuwatenganisha Sababu Unaweza Kuwasababishia Maumivu Na Zaidi Unaharibu Faragha Yao.
Jifunze kitu kuhusu mbwa wakati wa kujamiiana!!
MAKALA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment