jamii ya Tidong, Indonesia

Katika jamii ya Tidong, Indonesia, hutaruhusiwa kuuona uso wa bi harusi wako hadi umuimbie nyimbo kadhaa za mapenzi zitakazompendeza wakati wa kufunga ndoa. Pia baada ya ndoa waliooana hawaruhusiwi kuingia bafuni na chooni kwa muda wa siku 3 kuepusha mikosi katika maisha yao.
Chanzo:Odditycentral & HuffPost

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages