Hii picha ni ya watu wawili tofauti, Wa kushoto jina William west na Wakulia jina will west.
Hawa jamaa wote walikamatwa kwa makosa tofauti na kupelekwa katika gereza moja la Leavenworth, huko marekani mwaka 1903..katika mida tofauti.
Hawa jamaa wote walikamatwa kwa makosa tofauti na kupelekwa katika gereza moja la Leavenworth, huko marekani mwaka 1903..katika mida tofauti.
Baada ya kufikishwa Gelezani , william west wapili, mapokezi wali mshangaa na kusema ,wewe si umeletwa apa gelezani , mda mchache uliopita kwa kosa fulani, inakuwaje sasa unakuja tena hapa...Lakini william west alikataa kuwa sio yeye..Uzuri palikuwa na mafaili walipo angalia faili ni kweli waliona picha na jina hilo hilo... William west aliendelea kukataa sio, yeye, ndipo askari walipo amua kwenda gelezani, na chakushangaza walimkuta yule mfungwa alie itwa william west pia, walimtoa na kuwaweka pamoja , na walionekana kufanana kila kitu mpaka jina, kama unavyo ona apo pichani👆. Inasemekana hawa ndio walio sababisha kuanzishwa kwa Fingerprint , kama alama ya utambulisho/ sahihi mpaka hivi sasa. ✨✨✨MWISHO✨✨✨


No comments:
Post a Comment