Hii picha imepigwa wakati wa.........

Hii picha imepigwa wakati wa Victorian era, huko new york city marekani..miaka ya 1837-1901..ambapo walikuwa na tamaduni ya kuziweka maiti za watoto katika pozi na kuwapiga picha kama kumbukumbu. 👉Na hao watoto katika picha ,muda ambao walipigwa hiyo picha,wote walikuwa wamesha kufa ,hivyo maiti zao zilichukuliwa na kuwekwa katika hilo pozi na picha ika pigwa.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages