Hii ni picha iliyo chorwa kwa miaka mingi katika historia iliyo pita, mchoraji wa hii picha , alichora hii picha kwa kutumia Damu yake, na baada ya kuichora hii picha alikufa... Sasa toka kipindi, alichokufa mchoraji wa hii piacha, ilikuwa ina milikiwa na bibi mmoja , alie kuwa anaishi Northen England, jina labibi huyo halikutajwa.
Kwamiaka yote hiyo , huyo bibi toka kipindi cha ujana wake mpaka uzeeni aliimiliki hiyo picha kwa siri.
Sasa katika miaka ya hivi kalibuni, mjuu kuu wa huyo bibi, Jina Sean Robinson, alipo mtembelea huyo bibi, kwa bahati mbaya ali ona hiyo picha, na usiku alipo lala , aliota ndoto mbaya sana kuhusu iyo picha na alipata mauza uza .
Siku iliyo fuata, alimuliza bibi huyo, ndipo huyo bibi alipo msimulia stori ya hiyo picha, kuwa nipicha ya kishetani..lakini Robinson hakutaka kuamin ali ichukua ile picha na kuludi nayo nyumbani kwake.
Baada ya kuichukua ile picha, haikupita wiki, familia yake ilipatwa na matatizo na mauza uza mengi, punde ilipofika usiku, waliona kivuli cha mtu gizani, sauti za vicheko na vilio kwasiku zote..ndipo alipo amua kuifungia iyo picha katika chumba.
Mpaka sasa watafiti wanaendelea kufanya tafiti kuhusu picha hiyo, na unaambiwa mpaka sasa hakuna aliye weza kukaa na kuitazama huyo picha kwa zaidi ya dakika tano, kutokana na maajabu yake.
Kwasasa picha hiyo ina uzwa na thamani yake ni TSH 4,500,000, kwa anaetaka kununua.
Inajulikana kama , one of the most hounted item. ✨✨MWISHO✨✨

No comments:
Post a Comment