Bwana Mkubwa Gary Mckinnon Alizaliwa Mnamo Tarehe 10 mwezi wa pili Mwaka 1966. Huyu Mwamba Alikua System Administator Na Biggest Hacker (Mdukuzi Mkubwa) Kutoka Nchini Scottland. -
Mnamo Mwaka 2001 Ali Dukua Kompyuta Za Siri Za Jeshi la Marekani Zenye Siri Nyingi Za Shirika la Utafiti wa Anga za Nje (NASA). -
Bwana Mckinnon Ali Dukua Kompyuta Zipatazo 65,000 Ndani Ya Dakika 10 Tu, Kompyuta zote alizo Dukua Zilikua Na Siri Nyingi Pamoja Na Uthibitisho Juu ya Uwepo Wa Viumbe wa Ajabu Jamii ya Aliens na UFO. -
Katika kompyuta 65,000 alizo Dukua ali fanikiwa kufuta Taarifa kwenye kompyuta takribani 2,000 na kusababisha hasara ya $700,000.
-
Mara Baada ya Timu ya ulinzi ya Jeshi la Marekani kugundua Kuna mtu amefanya udukuzi mara moja walianza kumtafuta mdukuzi na kumnyaka Bwana mkubwa Gary Mckinnon. -
Mckinnon ali pandishwa kizimbani na kufunguliwa mashitaki ya uhalifu wa kimtandao na kuisababisha serikali ya Marekani hasara.
-
Katika Maelezo Yake Bwana Mckinnon alieleza kwamba lengo la kufanya udukuzi huo Ni kutafuta uthibitisho juu ya Nguvu huru zinazo tajwa kuwepo Ulimwengu na Kuzifahamu kazi zinazo fanywa na UFO Aidha Alisema pia alikua ana taka Kuzifahamu teknolojia mpya kwa matumizi chanya ya Jumuia. -
Siku Chache zilizo fuata ina semekana Bwana Mckinnon alipotea Ghafla na Hadi Leo haifahamiki Ni wapi yupo. -
Jeshi La Upepelezi wa Mitandao na Teknolojia la Marekani lilienda kufanya uchunguzi katika Camp ya Mckinnon, Walikuta ame tengeneza Michezo mingi ya ma game kwenye kompyuta zake, Games hizo zilikuwa zina elezekeza jinsi ya Kudukua Teknolojia ya Mataifa mbali mbali ikiwemo jinsi ya Kudukua kompyuta za Marekani. -
Pia yalikua Magame mengine mengi ambayo wana dai yalikua yanalenga kutengeneza vita ya tatu ya dunia kama ange fanikiwa kuendelea Kudukua teknolojia za Mataifa mbali mbali. -
Huyu Ndo Mtukutu Gary Mckinnon, Mtu hatari kuwahi kutokea kwenye historia ya Teknolojia ya Jeshi la Marekani na NASA.
Hacker Gary Mckinnon(NASA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment