ALIENS IN ZIMBABWE - 2

MMOJA wa watoto hao alisema viumbe hao walikuwa wakitoa ishara kuonesha kwamba binadamu tunaharibu dunia yetu kwa uchafuzi wa mazingira hivyo tuache kabla hakujawa na madhara makubwa
Michoro ile ililingana na mamia ya matukio ya watu waliokiri kuona viumbe wa ajabu duniani
-
Kitabu kimoja kinachoitwa The Report On Identified Flying Object cha mwaka 1955 kilichoandikwa na Ruppelts kimeelezea mamia ya matukio ya kuonekana kwa UFOS duniani kikiandika shahidi mbalimbali za kweli kutoka kwa marubani wa jeshi pamoja na wanasayansi mbalimbali ambao walitoa ushahidi kuhusu kuwaona viumbe hao wakiwa huko angani.
-
Shahidi nyingi zimethibitishwa lakini mpaka sasa kisa cha zimbambwe kimeacha maswali kadhaa, 
Lakini Kitu ambacho Kina acha Maswali Mengi Zaidi Ni kwamba wengi ambao Wana fanikiwa kuwaona viumbe hao kwa Ukaribu na kujaribu kuchukua picha Wanaishi kuwa machizi (Matatizo Ya Akili na Saikolojia) Hasa kwa wale walio fanikiwa kuwaona katika Kisiwa cha Triangle Bermuda. -
Hadi Sasa Hakuna Picha Halisi za Aliens ambayo zime wahi kuonyeshwa kwa watu Na wengi ambao Wana fanikiwa kuziona Wana potelea kusiko julikana kwa mfano Bwana Gary Mckinnon. 
Picha zinazo onekana Ni za kubuniwa na watengeneza movie pamoja na NASA kwaajili ya Kuficha ukweli na kupumbuza watu. -

Kitu cha Kushangaza Zaidi ni hata wale watoto walio waona ALIENS wakiwa wadogo kule Shuleni Wana Shindwa kutoa maelezo ya kutosha katika ukubwa wao, -

Moja kati ya vitu ambavyo vinatajwa kuwa sababu ya kutotaka kuwekwa wazi picha za Aliens Ni ile Project ya CERN ambapo moja kati ya mikakati yake Ni ALIENS INVANSION. -

MWISHO -

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages