Huko Indonesia kuna kisiwa ambacho mtu akifariki hazikwi haraka haraka. Wanamuwekea dawa ya kuzuia kuoza kisha wanakaa naye kwa miezi kadhaa. Wakati huo watakuwa wanamlisha, wanamuongelesha na kulala naye. Mtu aliyekufa wanamwita makula yaani mgonjwa. Ni jamii iliyoelimika na zaidi ya 90% ni wakristo lakini bado wanaendeleza desturi yao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment