Mwaka 1922 katika kijiji cha Hinterkaifeck, Munich, Ujerumani, familia nzima ya watu 6 iliuwawa kwa sururu. Mmojawapo wa watuhumiwa Karl Gabriel, inasemekana alikufa mwaka 1914 kwenye vita kuu ya kwanza ya dunia. Hadi leo uchunguzi unaendelea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment