UTATA WA KISIWA HIKI

UTATA WA KISIWA HIKI 👉katika Raman za zaman kuanzia miaka ya 60 kurudi nyuma ...zilikuwa zunaonyesha uwepo wa kisiwa kikubwa maghalibi mwa bara la austalia lakini chakushangaza katika raman za sasa hazioneshi kisiwa hicho..na kwamiaka yote iyo watu walikuwa hawajagundua kuhusu uwepo wa kisiwa hicho,mpaka miaka ya apa kalibuni kupitia film ya Dazed and confused ya mwaka 1993,pia kwenye kipind cha Frend TV Show na Mad men Tv show na baadhi ya raman 👉Na chakushangaza katika iyo filim ya dazed and confused 1993 kulikuwa na wana wake wa wili ambao mmoja alikuwa akizungusha Global ambalo lina ramani ya dunia na kuonekana hicho kisiwa maghalib mwa austaria pia katika kipande hicho mwana mke mwingine alikuwa amevaa bangili yenye rangi nyekundu na chaa ajabu miaka michache mbeleni katika kipindi cha Frend TV show palikuwa na wanaume wawili ambapo pemben palikuwa na Global yenye raman ikionyesha kisiwa hicho maghalib mwa Austaria pia mazungumzo yao yalikuwa yana ongelea bangili nyekundu katika scene ambayo inafanana na film ya dazed and confusion pia kwenye kipind cha Mad men Tv show kuna kipande ambacho alionekana mtu amekaa sehemu ambapo pemben palikuwa na Global yenye raman ikionyesha kisiwa hicho maghalib mwa Austaria na ukiangalia kiuhalisia watafiti kama David Icke mgunduzi wa Uwepo wa Lizard people yeye alisema kunasiri kubwasana ambayo tumefichwa kuhusu hicho kisiwa 👉pia katika karne ya ishirin mwanzon Rene daumal ambae ni mfaransa yeye amesha wai kutoa makala inayo husu kupotea kwa hypothetical mlima ambao inasemekana ulikuwa na nguvu sana na mlima huo ulikuwepo maghalibi mwa austaria sawa na sehemu ya icho kisiwa ambacho kwenye raman ya sasa hakipo. 👉sio icho tu pia tunakumbuka mwaka 2014 ndege ya malaysia 370 ilipotea maghalibi mwa austaria sehem ambapo inadaiwa kuwepo na kisiwa hicho
👉wapo wanao amin hicho kisiwa ni kweli kipo ila kinatumiwa na watu ambao wana nguvu sana dunia sasa ili kuficha mambo yao wamekitoa katika raman ili ulimwengu usijue, wapo wana usisha na TIME TRAVEL ambapo miaka ya mbelen kutakuwa na uwepo wa kisiwa hicho na wengine wana amin kilikuwepo ila kimepotea kwa sasa lakin bado ukweli haujulikan. 💥💥MWISHO💥💥

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages