Leo nimekuja na Makala hii inayo husu NYOTA YAKO/Future yako
👉Tunapo ongelea neno "NYOTA" kwa ujumla tuna maanisha kuwa ni "NURU/MWANGA".. ✨Tunapo ongelea NYOTA ya MTU, labda kwa mfano mimi nikasema nina nyota ya Biashara..Tunakuwa tuna manisha ni ile NURU/MWANGA ambao unakuwa ndani yako/spiritual toka kipindi unapozaliwa .. ✨Sasa katika hili ni kwamba MUNGU ame mtengenezea kila mtu nyota yake/nuru toka pale anapozaliwa mpaka kifo kinapo mkuta. Na hizi NYOTA ndio zinazo beba na kuelekeza uhalisia wa maisha yako /destiny yako wewe yanavyo takiwa yawe..mfano kama nyota yako ina vipengele vya uhalisia wa biashara basi jua kuwa wewe maisha yako inabidi yawe katika mfumo huwo wa biashara..Pia katika hili kuna watu ambao wanaenda kinyume na NYOTA zao, hivyo ndomana unakuta labda wewe unajitahidi kufanya jambo fulani kwa ufasaha lakini hupati mafanikio wakati huo kuna mwingine anafanya vile vile kama wewe lakini anafanikiwa kwa mda mfupi ndipo unapoanza kujiuliza kwanini mimi na hata kukata tamaa ya maisha kumbe sio.. tatizo ni wewe mwenyewe. ✨Nyota ni spiritual guard/ni nguvu ya kiroho ambayo MUNGU ameificha ndani ya maisha yako,Na kiuhalisia ni vigumu sana kujua nyota katika mwili wa kawaida /physical body kwasababu MUNGU ameificha , kwasababu ukiijua ni rahisi sana kwenda kinyume na matakwa yake..ispokuwa una weza kuijua nyota yako/future yako kupitia spiritual kama uchawi,waganga,meditation na astrial projection ambapo kiuhalisia kwa kufanya hivyo unakuwa una mkufuru MUNGU.. ✨kwa muda mwingine binadamu tunaenda kinyume na Nyota zetu zinavyo tubidi tuende ,pia Nyota yako/future yako inaweza ikachukuliwa na mtu mwingine ndomana unasikia mda mwingine watu wanasema mtufulani anatembelea nyota/future ya mtu fulani ndomana anafanikiwa.. ✨sasa kuna mambo ambayo yana changia sana kuharibu nyota ya mtu ambayo kiuhalisia MUNGU haruhusu kwasababu ni kinyume na matakwa yake ..mambo hayo ni kama Uchawi, kuwatumia waganga katika mambo yako,kutumia medditation na astrial projection kwa lengo lakutaka kujua Nyota/future yako au future ya mwingine. ✨✨ITAENDELEA

No comments:
Post a Comment