Usichokijua kwa mchwa ni kwamba..mchwa anapo kufa anatoa kemikali yenye harufu ambayo inawajulisha mchwa wenzake kuwa amekufa hivyo waka mzike ...sasa ubaya unakuja hapa endapo mchwa yeyote mzima ikamtoka harufu hiyo kwa bahati mbaya lazima azikwe hivyo hivyo mzima.....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment