UCHAWI; hii ni moja kati ya adui mkubwa wa nyota, kwasababu uchawi unaweza kuharibu nyota yako au nyota ya mwingine..kwanza kabisa uchawi ni upagani ..ambapo MUNGU hajaruhusu mwanadamu kufanya hivyo kwasababu uchawi ni moja kati ya kutaka kujifananisha na mungu..
sasa ni vp uchawi unaharibu ndoto kwanza jua kabisa mtu unapokuwa katika hali ya uchawi ni kwamba unakuwa katika ulimwengu sio wa kawaida kwasababu unakuwa katika spiritual world ambao MUNGU hakumpa binadamu mamlaka ya kuwa na uwezo huwo..na unapokuwa katika ulimwengu huo unakuwa na nguvu sio ya kawaida na unakuwa na uwezo wa kuviona vingi vinavyo onekana na visivyo onekana kama the underworld..pia mchawi ana kuwa na uwezo wa kuona nyota yako akiwa katika ulimwengu huo sasa akisha iyona anauwezo aka ishika au kukuharibia..katika future yako ambayo MUNGU amekutengenezea ,kuna vipengele ambavyo wew unakuwa unapitia ili kutimiza iyo future yako kupitia nyota yako...sasa mchawi akisha jua hivyo vipengele anacho kifanya ni kwamba anaitembelea hiyo nyota yako kwa kufanya yale ambayo wew inakubidi uya fanye na akisha kutangulia kuyafanya hayo anakuwa tayari kasha kuzibia njia wewe ,hivyo atakama wew ukayafanya yale inakuwa ni kazibure kwasababu mwingine anakuwa tayari kasha fanya na sikuzote "First is Prior" yan cha kwanza ni cha kwanza tu..sasa hapo utakuta kabisa unafanya kitu ambacho moyo wako unapenda na unaona kabisa ukikifanya utafanikiwa lakini unapokuja kukifanya kile kitu hupati mafanikio kumbe mafanikio yako yame chukuliwa na mtu fulani...
Nakitu usicho kijua ni kwamba NYOTA zina fanana ila MUNGU ameweka kitu kidogo sana ndani ya Kila nyota ambacho kinafanya nyota ziwe tofauti..Mfano..ndomana unakuta wenye nyota ya usanii ni wengi ila kunakakitu kadogo kanako tofautisha wasanii wote ndomana unakuta wote ni wasanii lakin future(maisha kiujumla haya fanan) ambacho hicho kitu MUNGU ndicho amekificha ndan yako sasa hiki kitu mchawi anapo kijua ndipo anapokuwa na uwezo wa kunyan'ganya au kuharibu
,kitu kingine ambacho kinaweza kuharibu nyota yako ni WAGANGA; kwanza kabisa jua kuwa mbinu anazotumia mganga ni sawa kabisa na mbinu zile zile anazo tumia mchawi..ila mganga yupo katika level ya juu ya uchawi ambapo hao wote wana amini katika imani ya wicca ambayo ni witches (uchawi)..sasa mganga anachangia vipi kuharibu nyota yako ,kwanza mbinu anazo tumia mganga ili kukutatulia matatizo mfano kusafisha nyota yako sio sahihi kwasababu MUNGU akutoa mamlaka hayo kwa binadamu kwa kutumia njia hiyo ya uganga..na ubaya unakuja hapa pale unapo ruhusu kumwambia mganga akusafishie nyota yako ..ni sawa kabisa na kumkabidhi maisha yako kwasababu kwa kufanya hivyo una mruhusu yeye kukujua wew vizuri na akisha kujua ni rahisi sana kuku haribia nyota mfano..labda mim nimeenda kwa mganga ili kusafisha nyota yangu ambapo na mruhusu yeye anijue mimi kwa undani zaidi..sasa ikatokea labda kunamtu ananionea uwivu mimi akataka aniharibie maisha ,ubaya unakuja endapo akaenda kwa yule mganga ambae mm mwanzo nilieta kusafisha nyota yangu itakuwa rahisi sana kwa mganga kunizibia njia kwasababu ananijua vilovyo..
pia mganga anaweza akatumia njia sio sahii ya kukupa wew nyota sio yako yani akaiba nyota ya mwingine na kukufanya wewe utembelee hiyo nyota bila wewe kujua ambapo kiuhalisia kwa kufanya hivyo ni zambi kwasababu unakuwa umeharibu maisha ya mtu mwingine.
pia sio waganga wote ni wema wengine wana hila ..mfano uka ruhusu aijue nyota yako na akisha ona labda future yako ni nzuri basi anaweza aka kutumia katika mambo yake kupitia iyo nyota yako bila wew kujua ambapo kiuhalisia ni vibaya kwasababu maisha yako wewe yatakuwa ni ya kwenda kwa waganga tu ata kakitu kadogo wew fikra zako tayari zinakupeleka kwa mganga.
Kitu kingine kinacho weza kuharibu nyota yako ni Astrial projectio na meditation
Astar projection/travel na Meditation(Tahajudi)...kwanza kabisa hii astar projection ni hile hali ya mtu kujitoa katika mwili wako wa kawaida katika hali ya spiritual ambayo pia nisawa na meditation tofauti ni kwamba hii astrial projectio ni ngazi ya juu kabisa ya meditation/tahajudi... sasa hii astar projection inaweza kuharibu ndoto ya mtu endapo ikatumiwa sivyo mfano..ukiwa katika hali hii ya astrial projection unakuwa katika ulimwengu wa super power ambapo chochote kigumu kukifanya katika ulimwengu wa kawaida huku utakifanya ..
sasa tatizo linakuja hapa kuna watu wana chuki au hawapendi mtufulani afanikiwe na kupitia hii astar projection moja kati ya faida au madhara yake ni kwamba ukiwa katika ulimwengu huo wa kiroho unakuwa na uwezo waku ona future ya mtu pia uwezo wa kumsoma mtu kiakili sasa ikitokea ukajua future ya mbaya wako au mtu ambae hupendi afanikiwe kwasababu wew unahila nae ,hii itakuwa rahisi sana kwa wewe kwenda kumharibia uyu mtu Nyota yake ...iwe kupitia waganga au wew mwenyewe ndomana hii astrial projection sio nzuri sana kuitumia katika lengo lakujua future ya mtu...
MAMBO YANAYO CHANGIA KUHARIBU NYOTA YAKO
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment