Tofauti ya Lafudhi kwa Watoto!!

Unaweza kuwatofautisha watoto wa Kenya na wa Tanzania kwa kusikiliza tu namna wanavyolia.
Watoto huanza kujifunza lafudhi ya lugha inayozungumzwa walipo tangu wakiwa tumboni mwa mama. Hivyo wakilia hulia kwa lafudhi ya lugha hiyo.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages