Midoli yenye Uwezo wa kufanya mapenzi kuondolewa!!

Jiji la Houston, Texas, limegomea mpango wa kampuni la KinkySdollS la Canada kufungua danguro la kwanza la maroboti wanawake nchini Marekani.
Danguro la maroboti hutumia midoli yenye programu maalumu ambazo humfanya mwanaume ajihisi anafanya tendo la ndoa na binadamu.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages