SPIDER (BUIBUI)

Buibui ni kiumbe cha ajabu sana..mfano Buibui hana mabawa lakini kitu usichokijua ni kwamba Buibui ana uwezo wa kupaa/fly angani kama ndege na anaweza aka ruka angani na kupaa kwa umbali wa mail 2.5 (km 4)..kwakutumia umeme wa asili katika atmosphere. kitu kingine usichokijua Buibui wakati wa kujamiana/
kufanya mapenzi(mate) ..Buibui dume huwa ana mviriga jike kwa utando kiasi kwamba asiweze kutoka..kwasababu Buibui jike ni cannibal(anakula buibui wengine) ,hivyo dume anafanya hivyo ili kumzuia asiweze kumla.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages