BOBBY DUNBAR Mnamo mwaka 1912,mtoto wa miaka 4 ,jina Bobby Dunbar alipotea wakati walipo kuwa na safari ya kifamilia huko marekan. baada ya kupotea wazazi wali toa taarifa kwenye vyombo vya habari na vyombo vingi vilitoa makala kuhusu kupotea kwa mtoto huyo..
Miezi nane badae walimkuta mtoto huyo katika bonde la mississipy huko msituni ndipo familia yake ilipo kubali kuwa ndie Bobby dunbar kwasababu mwonekano na ufanano sawa hivyo wali mlea kama mwanao kwa miaka yote mpaka wazazi walipo kufa nae bobby dunbar alikuwa ni mkubwa tayar..
baada ya miaka kalibia mia kupita mnamo mwaka 2004 Bobby dunbar ali ugua ghafla sasa wakati akiwa hospitali wali mpima DNA test na walikuja kugundua kuwa hakuwa Bobby dunbar alie potea kwasababu DNA yake haikuwa na ufanano hata kidogo na familiya yake wala ndugu wengine....mpaka sasa wamejalibu kufanya tafiti kuhusu story ya huyo mtoto hawaja jua na ata hivyo walishindwa kuelewa kama siye ..bas huyu nae katokea wap kwasababu anafanana kila kitu adi kuongea sawa kabisa na yule alie kufa na kibaya zaid walishindwa kucomfirm kwasababu mama na baba yake tayari walisha kuwa wamefariki kipind hicho pengine wange kuwepo wangetoa ushaidi kuhusu story hiyo..pia yemwenyew Bobby alio kutwa mississipy mwaka 2004 alikuwa tayar mzee sana hakuweza kujieleza..
Mtoto BOBBY DUNBAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment