Siku Maalumu Ya Kutunga Mimba nchini Urusi

Katika Jimbo La Ulyanovsk, Urusi Tarehe 12 Mwezi Septemba Kwa Kila Mwaka Ni Siku Maalumu Ya Kutunga Mimba. Siku Hiyo Watu Huwa Hawaendi Makazini, Lengo Likiwa Kuhakikisha Kazi Ya Utungaji Mimba Inafanyika. Watoto Wanaozaliwa Mwezi June 12 Mwakani Wazazi Hupewa Zawadi. Ilianzishwa Ili Kuongeza Idadi Ya Watu Katika Jimbo Hilo.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages