black pope(papa mweusi) ni jina ambalo anapewa superio general wa shirika la intelijensia la dini ya roman katoriki hujulikana kama Jesuits..ambapo black pope wa sasa ni aturo sosa alichaguliwa ,october 14,2016 huko vatican.
hili shirika la jesuits lili anzishwa na st.ignatus of loyola ambae yeye ndie alikuwa black pope wa kwanza na lengo la kuanzisha kundi hili lilikuwa ni kupingana na ant-catholism sasa chini ya karpet watafiti wanasema kwamba huyu black pope ndio mtu mwenye nguvu sana duniani kuliko mtu mwingine yeyote ikiwemo PAPA mwenyewe(most powerful man in the world) kwasababu yeye ndio anae toa order zote za juu kuhusu dunia iende vipi pia ni muhajibikaji mkuu mpaka inafika hatua wapo ambao wana amini kuwa dunia ipo chini ya huyu kwasababu..yeye ndio anaetoa order mfano haki za binadamu,mabenki makubwa ya dunia yapo chini yake,katika shirika lao lina vyuo marufu dunian zaidi ya 172,shirika lao la jesuist lina inteligensia ya juu kuliko shirika lolote lile dunian,pia shirika lao limeusishwa katika mambo fulani kama kuzama kwa meli ya titanic ,french revolution na vita ya pili ya dunia. wapo wanao amini mataifa makubwa yanayo iongoza dunia kama marekani,uingereza,urus n.k viongozi wake wajuu ikiwemo rais wanaongoza nchi kupitia order ya black pope kupitia jesuits ndomana unakuta kila rais mpya wa mataifa hayo kama marekan na urusi lazima aende vatican makao makuu ya roman katoriki..
wapo watu ambao wanasema mashirika makubwa ya intelijensia kama CIA na FBI(marekan),M16(UK),mossad(is
rael),SVR(urusi) na DESC(france) yana endesha kupitia usaidizi wa hao jesuits chini ya black pope kwasababu hawa jesuits wana intaligensia ya juu zaidi kuliko ayo mashirika. pia ata kuna kipindi ndan ya PAPA Benedict hili shirika lilifutwa baada ya freemason kusema kuwa wanafanya kazi pamoja na jesuits na jesuits ni order ya juu kabisa ya freemason na illuminant ..baada tu ya kufutwa hili shirika kanisa katoriki lili yumba sana ,lakin badae bada ya kufuatilia na kugundua kuwa sio kweli PAPA clement ali amua kuruhusu tena ilishirika lifanye kazi chini ya black pope ndipo katorik ilipo ludi tena kwenye raman
Black POPE.(papa mweusi)
STORY
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment