Levitation or Transvection - Uwezo wa kutembea Juu ya maji na Kupaa kwa kutumia Fikra (Ina tumiwa zaidi na TIBETAN MONKS) -
Energy Manipulation - Huu Ni Uwezo wa kutumia akili au fikra za mtu mwingine kufikiria jambo fulani au kufanya kazi.
-
Telepathy - Uwezo wa Kutuma taarifa au kupokea taarifa kwa njia ya fikra, Hapa Una weza uka muita mtu kwa mawazo aka kusikia na uka muambia chochote na akatii bila kupinga (Ina tumiwa zaidi na wanaume 😂😂) -
Dowsing - Uwezo wa kukiongoza kitu kwa kutumia fikra, Una Tumiwa kitu kina fika kukudhuru au kutuletea ujumbe fulani na kina Rudi, Pia hii unaweza uka tumia sehemu nyingine kwa mfano kuyaongoza maji yapite sehemu ambayo Una penda yapite. -
Energy Medicine - Uwezo wa kumponya mtu kwa kutumia fikra na (Wale watenda Miujiza Wana Tumia sana hii). -
Faith Healing - Uwezo wa kuponya kwa kutumia imani (Ndio Ile Imani Yako Ime kuponya). -
Precognition, premonition Au precognitive dreams - Uwezo wa kutambua Jambo Fulani Kabla halija tokea, (Ina tumiwa zaidi na watabiri).hii halijalishi jambo Lita tokea lini au muda gani. -
Pyrokinesis - Uwezo wa Kuwasha Moto kwa kutumia Fikra (Ina fanana Na telekinesis). -
Remote viewing - Uwezo wa kutambua kitu kitakacho tokea Muda mfupi ujao au dakika chache zijazo. -
Retrocognition - Uwezo wa kutambua Jambo lililo tokea siku zilizopita, kwa mfano mtu Kafa Halafu Hakuna Anaye fahamu sababu mtu mwenye Nguvu hii akiangalia tu ana fahamu kilicho tokea. -
Scrying - Uwezo wa kuona Kitu kitakacho tokea Muda mfupi Ujao au siku zijazo kwa kutumia kifaa fulani ina weza kuwa kwa kutumia kioo au kifaa kingine chochote chenye uwezo wa kuonyesha.
-
Clairgustance - Uwezo wa Kufahamu Ladha ya kitu fulani pasipo kuonja hasa vyakula, Mtu kwa kuangalia tu chakula ana fahamu Ni kitamu au sio kitamu. -
Psychometry Au psychoscopy - Uwezo wa kupata taarifa kuhusu mtu au kitu kwa njia ya fikra. -
Hizi Nguvu zipo nyingi Naomba sehemu Inayo Fuata Nimalizie chache ili tuanze kuichambua moja moja. -
Itaendelea

No comments:
Post a Comment