THOMAS COSTELLO


Huyu alikuwa ni mkuu/mwenyekiti wa ulinzi katika shirika la siri ,katika department ya Dulce base.. 👉Hii Dulce base ,Huaminika kama kambi, iliyopo chini ya ardhi,yenye maabara ,inayofanya kazi chini ya viumbe alien na binadamu, katika utengenezaji wa viumbe na vitu vya ajabu kama clone ya people, na utengenezaji wa lizard people..durce ni sehemu ya siri sana kwa miaka mingi ,inayo daiwa kupatikana ,huko Colorado -New Mexco,katika mji wa dulce mpakani ,katika nchi ya marekani..ambapo sehemu hii ilianza kufanya kazi mwaka 1979.

Sasa Thomas costello, aliaminiwa sana katika sehemu hiyo,na yeye ndie alie kuwa anahusika katika ulinzi,ili kuhakikisha kwamba siri za huko hazivuji..sasa baada ya kupita kipindi, huyu thomas alivujisha ,picha ,ambayo ilikuwa ikionesha viumbe aina ya binadamu, vikiwa ndani ya mifuko ,katika hauta ya kutengenezwa kwa viumbe hivyo...angalia picha ya 👆 hapo juu ikionesha viumbe hivyo ,ambavyo vina muonekano kama wa binadamu.


Baada ,ya kuvuja picha hiyo ..na ukweli kuwekwa hazarani kuhusu utengenezwaji wa viumbe vya ajabu ,huko dulce kupitia viumbe alieni, habari zilisamba maeneo mengi na haikupita wiki, Thomas Costello pamoja na familia yake yote, ilipotea na haikueleweka wapi imepelekwa ,vyombo vya ulinzi ikiwemo CIA na vingine vimefuatilia kesi hiyo ,lakini mpaka sasa hawajafanikiwa kujua Thomas costello na familia yake wapo wapi... Baadthi ya watu wana amini kwamba alichukuliwa na alien baada ya kuvujisha picha hiyo. ✨✨✨MWISHO✨✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages