hii picha ina itwa "MONALISA" ni picha iliyo chorwa karne ya 16,mwanzoni na Genius Reonardo davinci huko italy,ina takribani miaka 500 toka ilipochorwa mpaka leo hii bado ipo vile vile haiaribiki wala kupauka,wanasayans wamejaribu tafit material yaliyo tumika kuichora hii picha wameshindwa kujua...endaopo ukataka kuinunua hii picha thamani yake ni dola za kimarekani million 800..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment