MICROCHIP IMPLANT

MICROCHIP IMPLANT
Hii Ni Moja kati ya Njia Inayo Tumiwa Na MK UTRA PROJECT kwaajili ya Kuwa Control Watu.
Katika Microchip implant Kuna kitu kinaitwa BEAST 666 (MNYAMA 666).
Katika habari mpya kuhusu sayansi ambayo inakuwa kwa kasi na ina uwezo wa kuathiri raia wasio na hatia na kusababisha hatari kubwa ya afya,ukiukwaji wa haki,uhuru kupotea, na upotevu wa utambulisho katika baadhi ya kesi.
Sayansi hii mpya inahusisha matumizi ya vipandikizi vya microchip ndani ya mwili wa binadamu na imeshaanza kutumika na baadhi ya watu tayari wanaijua, maamuzi haya ya watu kupandikizwa hiki kifaa ndani ya mwili yamefanywa kwa mtu kutokujua au kutokuwa na maarifa yeyote ya hiki kifaa.
Teknolojia hii Ina ingiliana na Kompyuta.
micro-chip huwekwa kwa mtu
Mtu anaweza kuwekewa hii micro-chip kwa urahisi kwa kutumia sindano, kwa kutoboa kidogo na kuipitisha katika jeraha au kwa njia ya upasuaji.
Licha Ya kuelezwa kwamba Teknolojia Ina wasaidia watu katika Utendaji Kazi Na Kuwaongezea Ufanisi, Madhara ya hizi microchips kwa binadamu ni pamoja na:
- Kufanya Mambo Ambayo Yapo Nje Ya Fikra Zako -Ugonjwa wa Alzheimer
-Delusional Disorder -Aina fulani ya ugonjwa wa akili
Kutokana na wataalamu wa huduma za afya, technolojia hii ina uwezo wa ku m control kufanya chochote mtu ambaye tayari amesha pandikiziwa microchip
Waathirika wengi wanaeleza kuteswa na technolojia hii.
Kifaa hiki ni kidogo sana kama chembe ya mchele, kikiingia ndani ya mwili wa binadamu ni vigumu kuonekana
Mara nyingi muathirika akienda hospitali na kuomba uchunguzi wa x-ray kumwangalia kama ana hiki kifaa mwilini mwake, mara nyingi wanagundulika na matatizo ya akili kama paranoia.
Hii inatokana na sababu kwamba hiki kifaa cha kupandikiza mwilini hakikubaliki....
Wataalamu wengi hawafanyi x-ray kwa waathirika na ina mlazimi mwathirika atafute njia binafsi ya uchunguzi wa x-ray.
Watu wengi wana hofu kama kweli hawa wataalamu ni watu wa kuaminika.
Watu wachache waliofanya x-ray na kugundulika na hivi vipandikizi, binafsi hawajui hivyo vipandikizi waliwekewaje katika miili yao bila ya wao wenyewe kujua, na hakuna mamlaka yeyote ipo tayari kuchunguza hivi vifaa vimetokea wapi.
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
》》 Kifaa hiki kwa binadamu ni wireless chenye kazi ya kutoa taarifa, kuhamisha data na kuona utambulisho wako au kujua popote uendapo au ulipo duniani kote.
Baadhi ya hizi microchips hazihitaji betri na zinapata nguvu kwa mawimbi ya radio ili ziweze kusoma taarifa.
Zimetofautiana ukubwa nyingine ndogo kama punje ya mchele na zina namba pekee.
Maandiko mengi ya wataalamu yanasema technolojia hii ina faida nyingi, hivyo wote inatupasa kufurahia kuwa na RFID microchips kwenye miili yetu.
Serikali ya Marekani imepanga kuwapandikiza watoto wote nchini humo hiki kifaa.
Kwanini ni vibaya kuweka kifaa hiki kwa watoto, Kifaa hiki kina circuitry na transmitter ndani ambavyo vinafanya kazi kupitia mawimbi ya radio (Kama television/radio).
Pia kifaa hiki kinaweza kudukuliwa na waharifu kwa kutumia computer na kinaweza kikaingia virusi vya computer, na kibaya zaidi kifaa hiki kinasababisha saratani.
Katika utafiti wa awali wa hiki kifaa (Microchip) wanyama ndio walikuwa wa kwanza kujaribiwa.Watafiti wengi kitu hiki hawakielezi kwamba wanyama wengi waliowekewa hiki kifaa, waliishia kupata kansa.
Leo hii kila kitu kinakuwa electronically, bank accounts,IDs,health cards,insurance cards.nk
kuna siku data zako zote Zita unganishwa ndani ya ID moja tu ambayo utaitumia kila mahali hata hospitali ID hiyo itasema hadi ugonjwa unaokusumbua
Massachusets institute of technology ina fanya kazi hii kwa siri ina wezekana Ni nzuri sana mwisho wa kubeba lundo la vitambulisho au vipi? turudi upande wa pili,hiyo ID ni microchip ndogo saana Itakayo wekwa kwenye paji la uso wako au sehemu nyingine kwa kuingizwa na sindano na ina uwezo wa kusoma mwili wako kwa kutumia electrical signals kwenye nerves za fahamu,ikatoa habari zako nje ya mwili.
Chip hiyo itaweza kuziamuru electrical signal za nerves zako kwa kompyuta ya nje ya mwili wako.
ROCKEFELLER FOUNDATION
ni zaidi ya uwajuavyo iwe ni Dini,Historia,Sayansi,Utamaduni vyote vinatoa habari ya uwepo wa muingiliano wa binadamu na majini,
Lakini only free Minds na serious researchers hujua mambo haya yanafichwa kwa vile yana umuhimu mkubwa kwa wanaoyaficha na Tunaofichwa.

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages