👉ni muendelezo wa makala iliyo pita kuhusu ni jinsigani nyota ya mtu inavyo haribika kupitia mambo tofauti. 👉Jambo lingine linalo changia kuharibu nyota ya mtu ni ✨Astar projection/travel na Meditation(Tahajudi)...kwanza kabisa hii astar projection ni hile hali ya mtu kujitoa katika mwili wako wa kawaida katika hali ya spiritual ambayo pia nisawa na meditation tofauti ni kwamba hii astrial projectio ni ngazi ya juu kabisa ya meditation/tahajudi... 👉sasa hii astar projection inaweza kuharibu ndoto ya mtu endapo ikatumiwa sivyo mfano..ukiwa katika hali hii ya astrial projection unakuwa katika ulimwengu wa super power ambapo chochote kigumu kukifanya katika ulimwengu wa kawaida huku utakifanya ..
sasa tatizo linakuja hapa kuna watu wana chuki au hawapendi mtufulani afanikiwe na kupitia hii astar projection moja kati ya faida au madhara yake ni kwamba ukiwa katika ulimwengu huo wa kiroho unakuwa na uwezo waku ona future ya mtu pia uwezo wa kumsoma mtu kiakili sasa ikitokea ukajua future ya mbaya wako au mtu ambae hupendi afanikiwe kwasababu wew unahila nae ,hii itakuwa rahisi sana kwa wewe kwenda kumharibia uyu mtu Nyota yake ...iwe kupitia waganga au wew mwenyewe ndomana hii astrial projection sio nzuri sana kuitumia katika lengo lakujua future ya mtu... ...✨✨MWISHO✨✨✨✨


No comments:
Post a Comment