PART 2; MEN IN BLACK(MIB)

kama nilivyo ongelea katika makala iliyo pita kuhusu hawa Men in Black kwamba wanafanya kazi katika kuzuia usambazwaji wa taarifa zenye ushaidi wa matukio yote yanayo husu uwepo wa ALIENS..
👉kuna watu ambao washa wai kuongelea uwepo wa hawa men in black mfano Albert k.bender mwaka 1950 kupitia kitabu chake cha "Flying saurcer and three man" kilicho toka mwaka 1962 na ameshawai kunukuliwa akisema hawa men in black ni watu wenye uwezo mkubwa sana kwasababu hawatumii nguvu zakawaida..

👉pia Nick redfern ameongelea hawa men in black katika kitabu chake cha "The real men in black"..pia wapo ambao wao walitoa siri zinazo husu alien na walipewa onyo na hawa men in black lakin walipo endelea kuongelea hilo walikufa mfano Phil scheiner huyu alikuwa ni injinia ambae alikuwa akifanya kazi AREA 51 marekani na alihusika katika ujengaji wa DUMB ambapo baada ya kufariki kwa kifo cha kutatanisha rafiki ake ..aliacha kazi na kuzungumza hadharani uwepo wa alien AREA 51 na katika ujenzi wa DUMB mwaka 1997 alisema walikuwa wakisaidiwa na alien na alien ndio waliokuwa wakiwapa maharifa yote...baada ya kutoa siri hizo alisema alifuatwa na men in black kuwa aache kueneza huo ushaid ili iwe propaganda miongon mwa watu, lakin phil scheiner hakutaka kuacha aliendelea kusema alicho kiona hadharani na wiki moja mbele walimkuta amekufa ofisin mwake katika mazingira ya kutatanisha...mwingine ni sergio monast huyu alikuwa ni mwandishi wa habari na ndie alie shtukia mpango wa blue beam project ulio andaliwa na NASA kupitia order ya Illuminant/freemason ya kutaka kutekeleza mpango wa "NEW WORD ORDER" ambapo alien wana husika katika mpango huo na baada ya kutoa siri aliwai kusema amepewa onyo asiendelee kuchunguza lakin hakuacha kusimamia alicho kiamini na haikupita mda nae walimkuta amekufa katika kifo cha kutatanisha.. 👉pia kuna films ambazo zime elezea kuhusu Men in black kama film ya men in black ya mwaka 1999 iliotengenezwa na kampun ya tiertex design studio na crave intertainment willismith akiwa muhusik,pia kuna video game ya men in black na vitabu kama "the real men in back,flying saurcer and 3men ,file on maury island na franchise comic book. ✨✨MWISHO✨✨✨

No comments:

Post a Comment

Active Visitors

Pages