Nimuendelezo wamakala iliyo pita ambapo nilikuwa nime ongelea mambo ambayo yana weza yaka haribu nyota yako(future yako) 👉sasa katika hayo mambo ,kitu kingine ambacho kinaweza kuharibu nyota yako ni ✨WAGANGA; kwanza kabisa jua kuwa mbinu anazotumia mganga ni sawa kabisa na mbinu zile zile anazo tumia mchawi..ila mganga yupo katika level ya juu ya uchawi ambapo hao wote wana amini katika imani ya wicca ambayo ni witches (uchawi)..sasa mganga anachangia vipi kuharibu nyota yako ,kwanza mbinu anazo tumia mganga ili kukutatulia matatizo mfano kusafisha nyota yako sio sahihi kwasababu MUNGU akutoa mamlaka hayo kwa binadamu kwa kutumia njia hiyo ya uganga..na ubaya unakuja hapa pale unapo ruhusu kumwambia mganga akusafishie nyota yako ..ni sawa kabisa na kumkabidhi maisha yako kwasababu kwa kufanya hivyo una mruhusu yeye kukujua wew vizuri na akisha kujua ni rahisi sana kuku haribia nyota mfano..labda mim nimeenda kwa mganga ili kusafisha nyota yangu ambapo na mruhusu yeye anijue mimi kwa undani zaidi..sasa ikatokea labda kunamtu ananionea uwivu mimi akataka aniharibie maisha ,ubaya unakuja endapo akaenda kwa yule mganga ambae mm mwanzo nilieta kusafisha nyota yangu itakuwa rahisi sana kwa mganga kunizibia njia kwasababu ananijua vilovyo..
👉pia mganga anaweza akatumia njia sio sahii ya kukupa wew nyota sio yako yani akaiba nyota ya mwingine na kukufanya wewe utembelee hiyo nyota bila wewe kujua ambapo kiuhalisia kwa kufanya hivyo ni zambi kwasababu unakuwa umeharibu maisha ya mtu mwingine.
👉pia sio waganga wote ni wema wengine wana hila ..mfano uka ruhusu aijue nyota yako na akisha ona labda future yako ni nzuri basi anaweza aka kutumia katika mambo yake kupitia iyo nyota yako bila wew kujua ambapo kiuhalisia ni vibaya kwasababu maisha yako wewe yatakuwa ni ya kwenda kwa waganga tu ata kakitu kadogo wew fikra zako tayari zinakupeleka kwa mganga. ✨Kitu kingine kinacho weza kuharibu nyota yako ni Astrial projectio na meditation..Nitazungumzia hii katika posti itakayo fuata. ....ITAENDELEA USIKOSE......

No comments:
Post a Comment